Makapuku Forum

2/Football War 1969
Ilijulikana pia km Soccer War au 100hrs War
Chanzo cha hii vita ni mechi ya kuwania kufuzu kombe la dunia 1970 kati ya El Salvadotr v Honduras iliyofanyika mwaka 1969
Baada ya El Salvador kushinda 3:2 (baada ya muda wa nyongeza) mashabiki wakaanzisha ghasia kubwa na kupelekea polisi kuingilia kati lakini haikufua dafu na kupelekea nchi hizo kuingia vitani
El Salvador ikaamua kutuma Jeshi kufanya mashambulizi huko Honduras na vita kudumu kwa masaa 100
Vita Hii iliisha baada ya kusuluhiahwa na Umoja wa Nchi za Kimarekani(Organization of American States)
........
 
Aiseee
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…