Si kweli...mbona mimi nawapenda sana wanawake wenzangu,mpaka sioni nongwa kuwasogeza kwa mtumishi nao wakeshe na jambilo kwa maombi mazito ya usiku wa manane.