EMMYGUY
JF-Expert Member
- Aug 6, 2015
- 11,115
- 25,414
Salama kabisa Mkuu, mzima wewe?salaam waungwana ..
Salama kabisa Mkuu, mzima wewe?salaam waungwana ..
Kuwa huru mkuu...Haya ngoja tuendelee kulisongesha
Kama kawaida, karibu sana.Haya ngoja tuendelee kulisongesha
Malampaka ya karibu na Misungwi?malampaka
Malampaka ya karibu na Misungwi?
hakika...Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni.
Poapoa brotherMungu ni mwema Siku zote, tuwe pamoja tena katika kulisongesha gurudumu hili.
Link si nimeqekaNani huyo tena?
Huyo jamaa ni msumbufu.I can guess who!!!🙄
Ngedele Ungabu😀
Iko mkoa gani hiyo Mkuu?Malampaka karibu na Kazuramimba
Hizi ni dalili za kukata roho.Daah!! Sijui nianze kuandika last will kwa familia hii ya makapuku?!🙁🙁🙁

Pamoja sana braza.hakika...
Iko mkoa gani hiyo Mkuu?
Duh! Ngoja nimcheki.