Nyoka_mzee JF-Expert Member Joined Nov 26, 2016 Posts 3,695 Reaction score 5,538 May 7, 2017 #181,601 shululu said: Mzima kabisa, vp pande hizo Click to expand... Huku salama kabisa kiongozi maana amna amna ajuwae mwenye shamba siku zinasonga
shululu said: Mzima kabisa, vp pande hizo Click to expand... Huku salama kabisa kiongozi maana amna amna ajuwae mwenye shamba siku zinasonga
Nyoka_mzee JF-Expert Member Joined Nov 26, 2016 Posts 3,695 Reaction score 5,538 May 7, 2017 #181,602 shululu said: Nawe pia mvuvi wa kambale Click to expand...
Nyagei JF-Expert Member Joined Jul 7, 2015 Posts 13,201 Reaction score 44,601 May 7, 2017 #181,603 LEO TUNAMUANGALIA ZAIDI SAMAKI DOLPHIN KARIBUNI
Nyoka_mzee JF-Expert Member Joined Nov 26, 2016 Posts 3,695 Reaction score 5,538 May 7, 2017 #181,604 Transcend said: Hahahaaa! Unataka vita usiyoiweza Mondray Click to expand...
Nyagei JF-Expert Member Joined Jul 7, 2015 Posts 13,201 Reaction score 44,601 May 7, 2017 #181,606 Bitoz said: Sio sahihi Km ni watu wa jinsia moja ukisema kaka au dada tafsri yake ni amekuzidi ila jinsia tofauti hapo haiwakilishi mkubwa wala mdogo .......... Click to expand... Mkubwa na mdogo unawatofautisha vipi?
Bitoz said: Sio sahihi Km ni watu wa jinsia moja ukisema kaka au dada tafsri yake ni amekuzidi ila jinsia tofauti hapo haiwakilishi mkubwa wala mdogo .......... Click to expand... Mkubwa na mdogo unawatofautisha vipi?
Camilo Cienfuegos JF-Expert Member Joined Apr 23, 2015 Posts 19,230 Reaction score 68,262 May 7, 2017 #181,607 Bitoz said: Wale wa soka tukutane kijiweni jioni Arsenal v United SAA 12 .......... Click to expand... Mechi ya wababe wa zamani.
Bitoz said: Wale wa soka tukutane kijiweni jioni Arsenal v United SAA 12 .......... Click to expand... Mechi ya wababe wa zamani.
Lee JF-Expert Member Joined Jul 31, 2013 Posts 44,001 Reaction score 150,526 May 7, 2017 #181,608 Transcend said: Kapige kazi jembe...achana na huyu muha wa unguja.. Click to expand... umesahauu zengwe langu ...ntalianzishaa utakimbiaa umu mkuuu ...usicheze na mkee aiiiiseeeeh
Transcend said: Kapige kazi jembe...achana na huyu muha wa unguja.. Click to expand... umesahauu zengwe langu ...ntalianzishaa utakimbiaa umu mkuuu ...usicheze na mkee aiiiiseeeeh
Camilo Cienfuegos JF-Expert Member Joined Apr 23, 2015 Posts 19,230 Reaction score 68,262 May 7, 2017 #181,609 Leo Katika Historia: 1946 - Kampuni ya Tokyo Telecommunication Engineering ambapo baadae ikaja kuitwa Sony yaanzishwa huko Japan ikiwa na wafanyakazi 20 tu.
Leo Katika Historia: 1946 - Kampuni ya Tokyo Telecommunication Engineering ambapo baadae ikaja kuitwa Sony yaanzishwa huko Japan ikiwa na wafanyakazi 20 tu.
Mwanzo ni Mwisho JF-Expert Member Joined Mar 9, 2016 Posts 4,397 Reaction score 10,846 May 7, 2017 #181,616 ndugu zangu, jumapili njema! kwenu kama mimi ninavyoiona njemaa!
Nyagei JF-Expert Member Joined Jul 7, 2015 Posts 13,201 Reaction score 44,601 May 7, 2017 #181,617 Mama Dolphin na Nyangumi wakiwaangalia wanao