Makapuku Forum

Matokeo ya mechi zilizochezwa tarehe 6 yanaletwa kwa udhamini wa Obe (Jorowe) na shululu

ya tareh 5

japo sikuwepo ijmaaa ila taarifa zimetufikia...usiku nimepata kureview hii kitu spurs anatandikwa na wagonga nyundooo...makofii kwaoo

Mack Noble, Kouyate na Lanzini ni kama walikuwa wamepokea fedha kutoka Chelsea vile, waliwaweka chini ya ulinzi Wanyama, dier na Dembele. Ukishazima taa za hawa jamaa wa katikati ya uwanja basi na zile taa nyingine zinajizima zenyewe...... Wakaziua njia za mipira inayokwenda kwa Delle Alli moja kwa moja, wakazima mipango ya Spurs kuanzia kwa ventoghen mpaka kwa Walker. Hakukua na zile movement za hatari ztulizozizoea kutoka kwa Son, Kane na Delle wakati mpira ukiwa miguuni mwa Ericksen.

Nyundo moja tu Wanyama chali..... Huyu jamaa huwa ni mbishi sana ila Mack Noble ni mbishi zaidi kwa siku ya jana.

Lawama lawama..... Mpira usivyo na adabu ukakushangaza tena jumatatu......ila mzee wangu namuaminiaa Antonio japo tunaweza kushangaa kweli
 
japo sipo kwenye Iist ila tumekumiaa pia na shukran kwa kutuachia hata yale makoloni yako soon tutatangaza utawala mpya
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…