Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,054
- 463,971
hapana shem wange asante kwa kujalNikuburudishe na nyimbo
hapana shem wange asante kwa kujalNikuburudishe na nyimbo
Nimepata nafuu..Kwahyo binamu ni mjanja
huku kwetu mtaani maduka yashafungwa sa 5 au niende bara barani nitakutana na bar au pubUnakaa osterbay ni nini, maana sisi uswazi tunakesha
WoyoooooooooooAaa! Tukunyema wanachosha tuu...hadi umgeuze ...
Wakati kimbaombao unakigeuza huku unaendelea kupiga ramli zako![]()
weekend inaendaje chiefKwema tu mkuu
Wewe mbona unamuita pimbi?Sijui wanajuana wao...
Mbona yy ananiita kisheti.
Wakati ni jina baya zaidi.

Poyehuku kwetu mtaani maduka yashafungwa sa 5 au niende bara barani nitakutana na bar au pub
Hahahhhh litakua na maana hilo lako piaSijui wanajuana wao...
Mbona yy ananiita kisheti.
Wakati ni jina baya zaidi.
Ni ndege wanapatikana sana sana kwenye nyumba zetuhiyo jorowe ina maana gani
Nimeshaelewa sasaWewe Obe unamunaje kwanza, pia jorowe ana akili nyingi
shwariiishwari lakin huko?
Iko poa kabisa, vip pande hizoweekend inaendaje chief
Shemela nijibu bas
hahahhhWewe mbona unamuita pimbi?![]()
tanteePoye
Asante kwa kuelewa shemelaNimeshaelewa sasa
Tulia basi na wewe...Woyooooooooooo

Itajukikana tu karibuni, Celta Vigo ndio wanayo dhamana ya ubingwa wa Real MadridAsante, ila la Liga ngoma bado mbichi