Tetramelyz
JF-Expert Member
- Apr 25, 2014
- 4,369
- 12,469
Sio sababu ya fungate lakiniNilijua tu, ndio maana fungate haziishi
Sio sababu ya fungate lakiniNilijua tu, ndio maana fungate haziishi
nampa hongera zake anayekufichaHahaha we huoni napotea potea hovyo
Kaah! Mimi nilimtania bhana..kama ilikuwa ni kweli ...mimi nabiiujue unanipa mashaka nikikumbuka ile siku uliyomwambia lee kuhusu dp yake ya wasap halaf nahisi ulihisi tu hahahha nikikumbuka ile siku lee kanifata wasap

KhaaaaaNiandike no zako mbili za mwisho hapa?
Hahah, poleeeJamaan niachieni mme wangu anajingata huko alipo jueni tu yupo porini network hamna mpk akirudi mjini![]()
![]()
T amesemashemela unaamini mme wangu ni mwindaji
Lipo tanga kuna kipindi nilikuwa na project huko...hahhaha hilo pori lipo tanga eenh hilo jina si geni tanga
huko siruhusiwi yy anapiga kazi kusaidina ni nyumbani tuAngeenda na mkewe ingekua poa sana wakasaidiane ktk shida na raha
Sio mmoja lakininampa hongera zake anayekuficha
Siku hizi hatuaminiani ndio maana nimesugest hivyoNo..
Wacha shem shunie abaki home...hawawezi kwenda wote waache home pawe kama gofu..
hahahha mm sijuiNyimbo sawa, lakini ina ukweli
Mwambie ajueNo..
Wacha shem shunie abaki home...hawawezi kwenda wote waache home pawe kama gofu..
Siku ukiwa tayari nikutajie no zako useme...Khaaaaa
Unajua buanahahahha mm sijui
AmeenMungu amlinde tuu shemela..
He will be back soon

hahahha sitaki kukumbuka ile siku akiiiKaah! Mimi nilimtania bhana..kama ilikuwa ni kweli ...mimi nabii![]()
![]()
Atakua ananipa dawa bila kujijua aisee... Maana sio kwa kufichwa hukunampa hongera zake anayekuficha
Karibu na wilaya ya same, ila pori lipo mkoa wa Tangahahhaha hilo pori lipo tanga eenh hilo jina si geni tanga