Snipes JF-Expert Member Joined Jul 2, 2013 Posts 9,223 Reaction score 16,900 May 6, 2017 #180,761 SHIMBA YA BUYENZE said: Click to expand... si mchezo
shululu JF-Expert Member Joined Jan 26, 2015 Posts 28,137 Reaction score 109,911 May 6, 2017 #180,762 Shunie said: hahahh queen naona kashapewa life ban alirudi kipindi flan kafanya fujo sana akapotea ghafla kama kawaida yake Click to expand... Aisee, ban ya jf au jamaa yake
Shunie said: hahahh queen naona kashapewa life ban alirudi kipindi flan kafanya fujo sana akapotea ghafla kama kawaida yake Click to expand... Aisee, ban ya jf au jamaa yake
shululu JF-Expert Member Joined Jan 26, 2015 Posts 28,137 Reaction score 109,911 May 6, 2017 #180,763 Shunie said: si kwa hamu hizo mpk kutoa kisu Click to expand... Usifanye mchezo, zingekuwa zinakula chips hapo sawa, lakini chakula maalumu hapo ndio kwenye tatizo
Shunie said: si kwa hamu hizo mpk kutoa kisu Click to expand... Usifanye mchezo, zingekuwa zinakula chips hapo sawa, lakini chakula maalumu hapo ndio kwenye tatizo
shululu JF-Expert Member Joined Jan 26, 2015 Posts 28,137 Reaction score 109,911 May 6, 2017 #180,764 Shunie said: urudi unaenda wapi Click to expand... Nipo
Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,076 Reaction score 463,977 May 6, 2017 #180,765 shululu said: Aisee, ban ya jf au jamaa yake Click to expand... hahaha jamaa yake
Shadrack K. Lwila JF-Expert Member Joined Jul 17, 2016 Posts 4,925 Reaction score 14,297 May 6, 2017 #180,766 SHIMBA YA BUYENZE said: Leo umejidamka mapema. Kulikoni? Umeingia lindoni mapema au? Au umekatazwa kuondoka? Aliyesema paka akiondoka panya hutawala hakukosea Click to expand... mkuu tueshimiane naeshimu kazi yangu ....ohooo
SHIMBA YA BUYENZE said: Leo umejidamka mapema. Kulikoni? Umeingia lindoni mapema au? Au umekatazwa kuondoka? Aliyesema paka akiondoka panya hutawala hakukosea Click to expand... mkuu tueshimiane naeshimu kazi yangu ....ohooo
Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,076 Reaction score 463,977 May 6, 2017 #180,767 shululu said: Usifanye mchezo, zingekuwa zinakula chips hapo sawa, lakini chakula maalumu hapo ndio kwenye tatizo Click to expand... mbona wengine sisi tunavumilia
shululu said: Usifanye mchezo, zingekuwa zinakula chips hapo sawa, lakini chakula maalumu hapo ndio kwenye tatizo Click to expand... mbona wengine sisi tunavumilia
Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,076 Reaction score 463,977 May 6, 2017 #180,768 hawa yanga leo prison wanaenda nao sambamba
shululu JF-Expert Member Joined Jan 26, 2015 Posts 28,137 Reaction score 109,911 May 6, 2017 #180,769 Shunie said: hahaha jamaa yake Click to expand... Pole yake
shululu JF-Expert Member Joined Jan 26, 2015 Posts 28,137 Reaction score 109,911 May 6, 2017 #180,770 Shunie said: mbona wengine sisi tunavumilia Click to expand... Thubutu
Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,076 Reaction score 463,977 May 6, 2017 #180,771 shululu said: Pole yake Click to expand... watu na mababy zao
Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,076 Reaction score 463,977 May 6, 2017 #180,772 shululu said: Thubutu Click to expand... hahaha hutaki sasa kuamini
BlessedHope JF-Expert Member Joined Jan 29, 2016 Posts 7,988 Reaction score 32,649 May 6, 2017 #180,773 Shunie said: tunakuombea mama mchuchu uweze Click to expand... Nitaweza soon katika yeye anitiaye nguvu
Shunie said: tunakuombea mama mchuchu uweze Click to expand... Nitaweza soon katika yeye anitiaye nguvu
BlessedHope JF-Expert Member Joined Jan 29, 2016 Posts 7,988 Reaction score 32,649 May 6, 2017 #180,774 Archduke said: mtu anaebakwa anapata wapi hiyo fursa?? Click to expand... Shetani kazini
BlessedHope JF-Expert Member Joined Jan 29, 2016 Posts 7,988 Reaction score 32,649 May 6, 2017 #180,775 Shunie said: ndio wamembaka mlinzi wao Click to expand... Hii dhambi itawatafuna milele wasipotubu
Snipes JF-Expert Member Joined Jul 2, 2013 Posts 9,223 Reaction score 16,900 May 6, 2017 #180,776 BlessedHope said: Shetani kazini Click to expand... swadakta
BlessedHope JF-Expert Member Joined Jan 29, 2016 Posts 7,988 Reaction score 32,649 May 6, 2017 #180,777 Shunie said: bado shemela labda tutegemee jioni hii au kesho nimemmiss kwakweli Click to expand... Tunamuombea sana huko aliko awe salama na arudi akiwa na afya njema,nakila analofanya liwe la mafanikio,nimemiss Lee pia jamani Mungu amtunze
Shunie said: bado shemela labda tutegemee jioni hii au kesho nimemmiss kwakweli Click to expand... Tunamuombea sana huko aliko awe salama na arudi akiwa na afya njema,nakila analofanya liwe la mafanikio,nimemiss Lee pia jamani Mungu amtunze
Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,076 Reaction score 463,977 May 6, 2017 #180,778 BlessedHope said: Nitaweza soon katika yeye anitiaye nguvu Click to expand... Ameeen
BlessedHope JF-Expert Member Joined Jan 29, 2016 Posts 7,988 Reaction score 32,649 May 6, 2017 #180,779 shedede said: siwezi kuwa na amani naivi umewatambishia kuwa wewe ni kibonge mlaini ndo watajazana pm funga iyo pm na makufuli aina ya wohu au solex mijianaume ya dar itabubujika huko kama buji buji na mimi naongeza majeshi cc:shululu :toxic9 Click to expand... Funga kwa maombi mkuu,kufuli lake haliwi na funguo spare
shedede said: siwezi kuwa na amani naivi umewatambishia kuwa wewe ni kibonge mlaini ndo watajazana pm funga iyo pm na makufuli aina ya wohu au solex mijianaume ya dar itabubujika huko kama buji buji na mimi naongeza majeshi cc:shululu :toxic9 Click to expand... Funga kwa maombi mkuu,kufuli lake haliwi na funguo spare
Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,076 Reaction score 463,977 May 6, 2017 #180,780 BlessedHope said: Tunamuombea sana huko aliko awe salama na arudi akiwa na afya njema,nakila analofanya liwe la mafanikio,nimemiss Lee pia jamani Mungu amtunze Click to expand... Ameen mama mchuchu namuombea Mungu amlinde na arudi salama
BlessedHope said: Tunamuombea sana huko aliko awe salama na arudi akiwa na afya njema,nakila analofanya liwe la mafanikio,nimemiss Lee pia jamani Mungu amtunze Click to expand... Ameen mama mchuchu namuombea Mungu amlinde na arudi salama