Poleni sana ndugu na jamaa zetu walilo guswa na huo msiba wa ajali ya Karatu. Siku zote msiba huwa ni jambo gumu sana kukubalika kwetu sisi binadamu, hasa kama ni msiba unaokugusa muhusika moja kwa moja.
Tuzidi kumuomba Mungu atuhepushe na hivi vifo vya ghafla. Poleni sana sana.
Mungu azilaze roho za marehmu mahali pema peponi. Naamini kama Taifa tutakuwa tumepoteza viongozi na nguvu kazi ya ujenzi wa Taifa letu la kesho.