Mndali ndanyelakakomu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2016
- 14,001
- 31,770
Kweli kila mtu anamtazamo wake
Kweli kila mtu anamtazamo wake
Ndinkafu kakaUlimkafu dada
Panandi kakaGwalembuka dada
Tunamshukuru sana MunguHumu ndani wazima
Amen mchungajiBwana Yesu asifiwe watu wa Mungu.
Rudi kwanza
Habari mbaya sanaKuna habari mbaya huko Karatu
Breaking News: - AJALI Karatu: Coaster yaua wanafunzi na walimu(karibu wote)
gudiNimesikia
Papoki panandi dadaPanandi kaka
AmenTunamshukuru sana Mungu
SanaaaaaHabari mbaya sana
Ila taarifa zinachanganya sana, wengine wanasema ni 20 ndio wamekufa, huo uzi unasema gari zima, taarifa sahihi ni ipiMkuu inaumiza sana maana nimeisoma hiyo habari nimeumia sana tuwaombee kwa mungu
EnaNdinkafu kaka
Mkuu tuwe wavumilvu nadhani kadiri mda unavyo kwenda ndo tutapata habari kamiliIla taarifa zinachanganya sana, wengine wanasema ni 20 ndio wamekufa, huo uzi unasema gari zima, taarifa sahihi ni ipi
Ni kweli ngoja tusubiriMkuu tuwe wavumilvu nadhani kadiri mda unavyo kwenda ndo tutapata habari kamili