Makapuku Forum

Afadhali pengine ataweza kuifufua Bongo movie yetu. Mdororo wake kwa kweli unasikitisha na kazi nyingi ni za kiwango cha chini mno. Halafu subiri sasa wakiweka subtitles za Kiingereza. Utacheka mpaka uvunjike mbavu!
 
Matokeo ya mechi zilizochezwa jana
Baada ya Ajax kumtandika Lyon 4-1
Juventus nae akajibu kwa kumchapa Monaco 2-0

Nauona ushiriki wa timu za ufaransa ukifikia tamati

 
[emoji524] MITHALI 3

24 Ulalapo hutaona hofu,Naam ,utalala na usingizi wako utakuwa mtamu.

25 Usiogope hofu ya ghafla,wala uharibifu wa waovu utakapofika.

26 Kwa kuwa BWANA atakuwa tumaini lako,Naye atakulinda mguu wako usinase

NAWATAKIA USIKU MWEMA DAMU YA YESU IWAFUNIKE USIKU HUU NA SIKU ZOTE ZA MAISHA YENU MBARIKIWE[emoji7] [emoji7] [emoji7]
 
Mungu awatunze,tuzidi kuuona utukufu wake...Mungu ni muweza wa yote[emoji120]
 
Hawa watoto aisee yaani, Mungu ni Mungu tu,

Mmoja akifa tu mwingine hawezi kuishi
[emoji524] ZABURI 118

17 Sitakufa bali nitaishi,nami nitayasimulia matendo ya BWANA

BWANA ATAWATUNZA ILI WAYASIMULIE MATENDO MAKUBWA MUNGU ANAYOWATENDEA THEY ARE LIVING TESTIMONY[emoji736] [emoji122] [emoji122]
 
Mkistaajabu ya NkurunzIza mtayaona ya Sizonje
.....
Jamani ila mahousegirl kwakweli wanafanya kazi,tukubali tukatae,Mungu atadhihirisha..kwamba kapendelewa siamini...naona president kaona mchango mkubwa maana sidhani kama first lady anafanya kazi yoyote,hawa mahousegirl tuwachukulie kwa upendo[emoji120]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…