Makapuku Forum

JOHN RIBER

Nimepenyezewa taarifa kwamba kuna mpishi mpya wa movies toka Africa kusini aitwaye John Riber.

Habari nilizonazo ni kwamba kwa sasa yupo Morogoro wamepiga kambi wakipika movie mpya itakayohusu maisha ya wakulima na walanguzi wa mazao mhusika mkuu akiwa ni JB.
John Riber ni raia wa Afrika kusini ila yupo hapa nchini kwa miaka 12 sasa.

Ni muongozaji wa filamu pia ni mwandishi
Hapa na Gopal wakati wakichukua vipande kwenye filamu iitwayo Yellow card.
Kazi zake nyingine hizo

Tukae mkao wa kupokea kazi toka kwa gwiji John Riber.
Nyota wa Yellow card akiwa na tuzo
 
Aisee, kazi kwao sasa wasanii
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…