Makapuku Forum

9/Georgia Bendera yao tu ina Alana ya msalaba!!
83&% ni Wakristo Wa dhehebu la Orthodox,1% wanafuatisha dhehebu la Orthodox la Urusi 4% wabafuatisha dhehebu la Mitume ,waliobaki ndio Waislamu
93% ni washika dini na jumapili asubuhi kwao ni mwendo wa kanisani tu
.......
 
7/Armenia
94% ya wananchi wote ni Wakristo wa dhehebu la kitume(Apostolic church}
Mnamo mwaka 301 AD Arnenia nilikuwa Taifa la kwanza kujitangaza kuwa Taifa la kikristo
93% ya wananchi wa Armenia ni watu wa dini
........
 
6/Thailand
95% ya Wathailand wanaabudu Ubudha(Buddhism) huku nguzo yao kuu ikiwa ni upendo,kujiongoza/kujitawala na kutofanya uovu
Watgaikabd wachache wanafuata Uhindu(Jindusm)
94% ya watu wa Thailand ni watu wa dini
........
 
Hadithi yake inafanana na series ya Shooter
 
3/Malawi
Dini kuu ni Ukristo ila kuna idadi ndogo pia ya Waislamu,Wayahudi,Wabaha na Marastafarah
99% ni watu wa dini ....sijui wanafanya kazi saa ngapi maana Malawi ni miongoni mwa nchi 10 maskini zaidi duniani
Hawa ndo wamewaambukiza ndugu zao Wanyakyusa tabia ya kushinda makanisani
....
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…