na ww shemela upo hukoWako vizuri...
I apriciate thier efforts..
Hii inanikumbusha Ebola..6/The Flu Pandemic
Unayadharau mafua?
Noma Hii ya mafua iliikumba dunia kati ya mwaka 1918 hadi 1919 yaani vinamaliza tu vita vya dunia halafu linakuja janga jipya
Iliua zaidi ya watu milioni 75 huku ripoti zingine zikisema milioni 100
India pekee walikufa milioni 16
Wahanga wakuu wakiwa watoto na wazee
......
Harafu leo shunie yuko na furaha sanaKuna wachungaji viongozi na wasaidizi,na baba na mama wote ni baba au mama mchungaji jamani..Shunieleo umefurahiiiii
hun, bae, my love, baby, my sweetheart, baby love mbona mengi tuHahaaaaa sijui majina ya kiromantik in English
nashukuru kuniombea,hawezi nitamleta humu humu awe wifi ako ....nakuombea sana ila si atakubana sana hata huku utakua hauonekan
Safi sana..Admin ni Valentina.
Pia nyagei analo lake pia admin ni yy only jf members.
8/Chinese FamineHii njaa ilikuwa kiboko kiasi cha watu kuwindana
Ilirokiea kati ya mwaka 1959 hadi 1961
Iliua takribani watu milioni 20
.......
la congo kwa kina mushengaLa nchi gani
Nitajiunga soon...!Admin ni Valentina.
Pia nyagei analo lake pia admin ni yy only jf members.
Mimi ni mzee wa kanisa
Upo sahihiEthiopia na Sudan ziliasilika sana
I don't knowshululu alinikopi mimi shedede right??
ww ungeenda pm shedede unanikaje no yako hapa0629099545 add me
Nimesikia shem wangu..mondray umeskia
Hao kukushinda ni rahisiMungu wangukuwindana na kula nyama zao..wachina wamenishinda tabia
Aisee5/The Deadliest DroughtUkame huu uliikumba China kati ya mwaka 1976 hadi 1979 unaambiwa mito ilikauka kiasi mtu ungeweza kuweka godoro na kulala
Ilisababisha vifo zaidi ya milioni 10
.....
mimi niko mzima sana dr.lee ameringwa na nini sijamuona nna mdasijambo za ww