Asante Nyagei ubarikiwe
Kwa ushirikiano mnono kabisa wa BlessedHope
Tukutane jioni katika top ten na brother Bitoz.
tukielimishana kwa vikiundi wanakuja na mabomu...Mkuu tuendelee kuelimishana mtaani kwetu mambo yatakuwa sawa tu
Mungu hujibu Atakavyo. Tena hachelewi wala hawahi. Shida ni sisi binadamu na viherehere vyetu tu!Nilimuomba Mungu anipe nguvu nae akanipa magumu nijifunze kuwa imara.
Nilimuomba Mungu anipe Hekima na Busara nae akanipa matatizo ya kutatua.
Nilimuomba Mungu Nuru na mwangaza nae akanipitisha katika kiza kinene.
Nilimuomba Mungu anipe ujasiri nae akanipitisha sehemu za hatari niweze kujiokoa.
Nilimuomba Mungu anijaalie moyo wa subira nae ananipitisha katika nyakati ambazo suluhu pekee ni kusubiri.Nilimuomba Mungu anijaalie upendo nae akanipa watu wenye matatizo niwasaidie.
Nilimuomba Mungu furaha nae akanipa nyakati za kulia ili furaha ikija niithamini.
Nilimuomba Mungu anipendelee nae akanipa nafasi mbali mbali.
Nilimuomba Mungu kila kitu ambacho kingefanya nifurahie maisha badala yake akanipa maisha ili nifurahie kila kitu.
Hajanipatia vyote nilivyo taka bali amenipatia kila ninachohitaji.
Kila nyakati katika maisha yetu zina maana japo kuna wakati zinaumiza lakini Mungu anajua kwa nini anakupitisha hapo...huwezi kuwa bora kama hujapitia nyakati mbali mbali kwenye maisha...kadri unavyovuka ndivyo unazidi kuwa bora!
Ramli za wazungu. Angekuwa amesema haya Sheikh Yahaya (Jr) basi ungesikia kejeli na dharau kibao. Shikamoo mzungu!
Nilimuomba Mungu anijaalie moyo wa subira nae ananipitisha katika nyakati ambazo suluhu pekee ni kusubiri.Nilimuomba Mungu anijaalie upendo nae akanipa watu wenye matatizo niwasaidieNilimuomba Mungu anipe nguvu nae akanipa magumu nijifunze kuwa imara.
Nilimuomba Mungu anipe Hekima na Busara nae akanipa matatizo ya kutatua.
Nilimuomba Mungu Nuru na mwangaza nae akanipitisha katika kiza kinene.
Nilimuomba Mungu anipe ujasiri nae akanipitisha sehemu za hatari niweze kujiokoa.
Nilimuomba Mungu anijaalie moyo wa subira nae ananipitisha katika nyakati ambazo suluhu pekee ni kusubiri.Nilimuomba Mungu anijaalie upendo nae akanipa watu wenye matatizo niwasaidie.
Nilimuomba Mungu furaha nae akanipa nyakati za kulia ili furaha ikija niithamini.
Nilimuomba Mungu anipendelee nae akanipa nafasi mbali mbali.
Nilimuomba Mungu kila kitu ambacho kingefanya nifurahie maisha badala yake akanipa maisha ili nifurahie kila kitu.
Hajanipatia vyote nilivyo taka bali amenipatia kila ninachohitaji.
Kila nyakati katika maisha yetu zina maana japo kuna wakati zinaumiza lakini Mungu anajua kwa nini anakupitisha hapo...huwezi kuwa bora kama hujapitia nyakati mbali mbali kwenye maisha...kadri unavyovuka ndivyo unazidi kuwa bora!
mwezi wa kumi na 11 mpk Dec ishirini na kituNyagei hawa ni wa mwezi gani
Ameen Baba mchuchu [emoji120]Nilimuomba Mungu anipe nguvu nae akanipa magumu nijifunze kuwa imara.
Nilimuomba Mungu anipe Hekima na Busara nae akanipa matatizo ya kutatua.
Nilimuomba Mungu Nuru na mwangaza nae akanipitisha katika kiza kinene.
Nilimuomba Mungu anipe ujasiri nae akanipitisha sehemu za hatari niweze kujiokoa.
Nilimuomba Mungu anijaalie moyo wa subira nae ananipitisha katika nyakati ambazo suluhu pekee ni kusubiri.Nilimuomba Mungu anijaalie upendo nae akanipa watu wenye matatizo niwasaidie.
Nilimuomba Mungu furaha nae akanipa nyakati za kulia ili furaha ikija niithamini.
Nilimuomba Mungu anipendelee nae akanipa nafasi mbali mbali.
Nilimuomba Mungu kila kitu ambacho kingefanya nifurahie maisha badala yake akanipa maisha ili nifurahie kila kitu.
Hajanipatia vyote nilivyo taka bali amenipatia kila ninachohitaji.
Kila nyakati katika maisha yetu zina maana japo kuna wakati zinaumiza lakini Mungu anajua kwa nini anakupitisha hapo...huwezi kuwa bora kama hujapitia nyakati mbali mbali kwenye maisha...kadri unavyovuka ndivyo unazidi kuwa bora!
Kitu haipomwezi wa kumi na 11 mpk Dec ishirini na kitu
hahhaha shemela bana n Dec 21Kitu haipo
Bleesedhope asante sanaHongera kwa kuacha na kumrudia Mungu,Mwenyezi Mungu akuimarishe katika hilo
Umri pia umeendaNafikiri ni msugua benchi
.......
Mi nimesema amuulize ray atampa majibumm si mmendei mtu mndali ongea vizuri na vale
Usihukumu mkuu wewe zungumza nae kwa utaratibuHuyu ray atantambua
[emoji109]Nimekupata
Niko poa papa mkuluSalama mkuu Mndali, Natumai uko njema
Hongera kwa kutupia post [HASHTAG]#177777[/HASHTAG]Haaaaahaaaa
Umepotea mkuu za siku nyingiVP humu ndani salama?