Makapuku Forum

2/The Green Anaconda Huyu kila mtu anamjua....Muvi ya Anaconda aliyoicheza Jeniffer Lopez inafahamika
Wanapatikana huko kwenye misitu ya Amazon Brazil
Wastani wa urefu wao ni futi 15 hadi 18
Aliyeweka rekodi alikuwa na futi 29 ila inasemekana waneshawahi kuwepo wakubwa zaidi ya huyo ila ushahidi bado hauhaonekana
......
 
Nakumbuka movie yake lile joka
 
Very new knowledge.....ukigusa maji baridi maumivu kuanza tena!!!

Naskia venom zao ni dili!!!
 
4/The Burmese Python Chatu hawa wanapatikana nchini Burma barani Asia
Huwa na urefu wa futi 13 hadi 20
Wana uwezo wa kujiongezea joto mwilini mwao
Sijapata rekodi sahihi za mrefu zaidi kuonekana si mnajua hiyo nchi ya kushamba
..........
Waliwaleta kule Florida eti wawasaidie kutatua tatizo la panya wakazaliana haraka haraka panya walipoisha wakaanza kula nyoka wenyeji, ndege, samaki, sungura, squirrel na kila aina ya viumbe wenyewe hawachagui. Sasa wamegeuka na kusababisha environmental crisis ya hali ya juu. Leo hii ukikamata mmoja unalipwa mpaka dola 100 kulingana na ukubwa wake. Kwa wenye utaalamu wa kukamata nyoka waende huko wakapige mzigo...
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…