Makapuku Forum

Case yao ni sawa na ya Bashite. Kama Bashite ana makosa, na wao wana makosa japo inauma kuona kuwa mwenzao Bashite hajaguswa.
 
Case yao ni sawa na ya Bashite. Kama Bashite ana makosa, na wao wana makosa japo inauma kuona kuwa mwenzao Bashite hajaguswa.
Za asubuhi mkuu umeamkaje?vipi hali yako?pole Mungu aendelee kukuimarisha.

Nimesoma ujumbe wako natamani kuelewa zaidi,unisaidie kufafanua hapo,khs kesi kufanana na Bashite,napenda kujifunza ili pia nipate maneno ya kuwaeleza wanielewe na wachukukuliw hili suala kwa kulielewa,hivi wapo njiani wanakuja,nadhani usiku nitakuwa nao hapa
 
mama mchungaji
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…