Makapuku Forum

Lishakuwa kuwa lao hawa majamaa
 
1945 - Adolf Hitler na Mkewe Eva Braun wanajiua hiyo ni baada ya masaa 24 toka wafunge ndoa yao.

Kufariki Dunia kwa Hitler kunahitimisha Vita Kuu ya Pili ya Dunia kwa Ujerumani ambayo inakubali yaishe.

Ikumbukwe Hitler aliamua kujiua mara baada ya kuona rafiki yake Benito Mussolini alivyoteswa kabla ya kuuwawa hivyo hakutaka kuteseka wala kuadhirika.

Ingawa mpaka leo kuna utata ni jinsi kifo cha Hitler kilitokea, kuna wanaoamini alijipiga risasi na kuna wanaoamini alidumbukia kwenye Acid. Maiti yake haikuwahi kupatikana.
 
Joshua hana pumzi
Ashukuru kakutana na babu
Ila yupo vizuri
.....
 
WBA maana yake tafadhali
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…