Hao wanakuja na kuondoka wala wasitupe shida kabisa.Ni kweli kabisa, walikuja mpaka wengine wakajaribu kuomba uzi upigwe ban ila waliambulia patupu. Hivyo hata huyu atapita pia
Tumpotezee
Hapana kuwaqoute wala kuwapa like
Msamehe tafadhaliJamani huyu mume keshanitumbua jipu,kasema sijui kuvaa,sijui mitoko na swaga za kileo...amempenda Jimena mara@everlenk mara anawaita warembo wakali...arande tu kwa kweli...nimempa kila kitu kaniona wa nini..sasa mimi namuona wa kazi gani
Uwiiiiiiii hapana my sweety heart usifanye hivyo nko chini ya miguu yakoBaada ya kuchuja ndo unarudi?....kajipange baba...na mie already 'sold'
Umefika mapema sana mkuu,KAPUKU ALIYEPO UBUNGO BUS TERMINAL AJE TUTAMBUENE NIMEMFATA MGENI WANGU ATAINGIA SAA NNE USIKU SI VIBAYA TUKIJICHANGANYA NA STORY.
Chukua na gari kabsaa mpenziBaada ya kuchuja ndo unarudi?....kajipange baba...na mie already 'sold'
Najua unamtaka jimena haji huko endelea kung'atwa na mbu hapoKAPUKU ALIYEPO UBUNGO BUS TERMINAL AJE TUTAMBUENE NIMEMFATA MGENI WANGU ATAINGIA SAA NNE USIKU SI VIBAYA TUKIJICHANGANYA NA STORY.
Umefika mapema sana mkuu,
Najua unamtaka jimena haji huko endelea kung'atwa na mbu hapo
Nimehongwa ndege...wee ndo waja na gari?labda ukampe jimenaChukua na gari kabsaa mpenzi
Nakupa 2 zaidi, meli moja sema na nini tena sweety!Nimehongwa ndege...wee ndo waja na gari?labda ukampe jimena
Ha haa....Habari zilizonifikia punde kutoka vyanzo vya kuaminika ni kwamba baada ya zoezi la kuhakiki wafanyakazi hewa kukamilika serikali kupitia kurugenzi ya mahusiano na ustawi wa familia imemtaka kila mwanandoa kuhakiki michepuko ya mwenza wake na idadi ipelekwe ustawi wa jamii kabla ya siku saba ili wapangiwe majukumu mengine, aidha yeyote atakayeshindwa kufanya zoezi hilo mwenyewe baada ya muda huo kupita kitaundwa kikosi kazi cha ufuatiliaji na ikibainika ulificha ukweli unatumbuliwa!
Makapukualiyebuni hii kitu ni JINIASIIIII big up kwake full kuondoa stress