10/Malaria
Huu ugonjwa huenezwa na mbu jike airways Anopheles
Unashambulia zaidi bara la Afrika kutokana na hali ya kijiografia
Mnakumbuka serikali ilianzisha kampeni ya kugawa vyandarua vya dawa....mwenzenu niliishia kuvulia kambale tu maana hakienei kitandani
Husababisha vifo takribani Milioni 1 kila mwaka
.......
make sikuile nilikushuku kwamba we ni mzee wa videmu na uchungaji wapi na wapi
nyagei alikutetea exactly kabisa kwamba hata manabii nao walikuwa na wake wengi sembuse wewe