Makapuku Forum

Makapuku Forum

Nimekisikia tu, huyo Constantine Kimanda alikuwa ni Mkongomani, unaambiwa ni beki wa kati wa aina yake.

Said Nassoro Mwamba Kizota enzi hizoakicheza kama Straika, baada ya kasi kupungua akarudi kucheza Sentahafu ambapo hapo ndipo alipopewa jina la Kizota kutokana na aina yake ubabe na undava hali iliyofanya kuogopwa sana na Washambuliaji wengi.

Ikumbukwe Said Mwamba Kizota alipewa jina hilo la Kizota kama utani kutokana na eneo la Kizota lililopo Dodoma ambalo lilikuwa linaogopwa na viongozi wengi waliokuwa wanafanua makosa enzi ya utawala wa Jk Nyerere kwani hapo ndipo ofisi za chama zilipokuwa hivyo ukifanya kosa unaitwa Kizota mjini Dodoma ili uhukumiwe.
Pia kwao ilikuwa ni kizota
 
ba16d9e09b86025d02ce2a50e5c75363.jpg
Wamejuaje?
.....
kama wanataka kutuuza vile! na research zao za uongo na kweli
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom