TOP TEN
Kuna usemi kwamba afya ni uhai pia mtaji wa maskini ni nguvu ikimaainisha afya njema huchangia mtu kuwa na maendeleo maana ukiwa afya mgogoro basi utapoteza muda na pesa nyongi
Basi leo nawaletea magonjwa 10 hatari zaidi duniani yaani yanayopeleka idadi kubwa ya watu makaburini
Nikimaliza napotea...
karibuni