Youngblood
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 19,504
- 57,049
Naona unamfariji mwenzako.Mi pia naona ajabu
Futa kauli..... Mwenzangu unamjua
Aliyekuwa mpenzi hujambo sweety!Ndo kwanza tupo episode 1.
Nahisi hujapona ule ugonjwa wako! Uliona wapi mtu kujiita Kapuku amejidhalilisha, hautujui hata sisi hatukujui shida iko wapi. Usiongee kabla hujafikiria unachotaka kukiongea, kujiita kwetu Makapuku hakuondoi uhalisia wa maisha yetu. Boya wewe, sijui umeijia nini Makapuku forum. Umeshinikizwa na mtu kuja?Mnajidhalilisha tu nyie makapuku
Sasa hapo nimemdanganya nini?Acha kumdanganya huyu kijana amepotea
Jimena unaringa lakini aliyelamba chumvi unaona anavyong'ani eeHivi dini yetu inaruhusu talaka? Anyway nipo mtalaka wangu,anytime for you,si unajua mtalaka hatongozwiii?
Hahahaaa... Umenifurahisha sana Mkuu kwa majibu mazuri uliyompa.Ndiyo maana wizara ya afya wanasisitiza watoto lazima wanyonye maziwa ya mama kwa muda wa miaka miwili au zaidi.
Wewe mwenye kila kitu,mbona mkeo amekukimbia?
Hahahaaa... Umenifurahisha sana Mkuu kwa majibu mazuri uliyompa.
AfuAfu sitaki hata kumsikia...mchungaji full kula kondoo na vitoto vyake.
Nahisi hujapona ule ugonjwa wako! Uliona wapi mtu kujiita Kapuku amejidhalilisha, hautujui hata sisi hatukujui shida iko wapi. Usiongee kabla hujafikiria unachotaka kukiongea, kujiita kwetu Makapuku hakuondoi uhalisia wa maisha yetu. Boya wewe, sijui umeijia nini Makapuku forum. Umeshinikizwa na mtu kuja?
Pita huku ........
Haitojirudia tena, nakuahidi.Sasa hakikisha haijirudii, ili nawewe uwe levels
Mjini mipango ilipangwa sasaMbona mimi nilikushobokea wewe ukiwa huna kitu?sadaka za waumini zimekupa kiburi umeniona sina thamani pesa mbili.
Sasa huyo si mama mchungaji? Atakuwa anaogopa aibuJimena unaringa lakini aliyelamba chumvi unaona anavyong'ani ee
Tena usinizoee kabsaaHuyu mchungaji ni wakuogopa kama ukoma.
Kwani bei gani!,usiponipenda wewe mkeo atanipenda.Tena usinizoee kabsaa
Ohoo wivu jamaniKila idara nimetimia...sema lingine..!