Mndali ndanyelakakomu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2016
- 14,011
- 31,798
Mkuu kwani alikuwa anatokea ileje sehemu gani maana ileje ni kubwaMiaka ya 2000 huko MBY tulikuwa na dada wa kazi ni Mndali maeneo ya Block T, tuliishi nae fresh tu Ila kuna jambo sio la kawaida alikuwa analifanya. Alitoroka nyumbani zaidi ya mara tatu na zote hizo anatoka saa 11 alasiri baadae tunapata taarifa kuwa yupo kwao na anadai anatembea kwa miguu toka home mpaka kwao ileje.
Akiulizwa anadai huwa kuna nguvu zinamuingia zinamtuma akimbie vile.
Nzuri shemela, tunasubiri tumchape man cityMorning shemela wangu za jumapili
Review kidogo hapo utaona nimekitoaKipi hicho
Yeye kidogo tu machozi [emoji125] [emoji125][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ngoja aje
Nashukuru mkuu mi nimezoea hawa kuku wetu wa kienyejiPia kuna mbegu nyingine huwa sio nzuri ndio hufika umri huo
Kwema huko mkuuMorning Nyagei
Yes MpembaPemba =mpemba
Hapa nasubiri jibuNawe ni mmoja wao?
Hapana, mimi naijua nchiNawe ni mmoja wao?
Fainali ipigwe na London teams itakuwa ngumuLeo city anakaa
NimeonaReview kidogo hapo utaona nimekitoa
Kwema mkuu, vip pande hizoKwema huko mkuu
TusubiriHasa mbozi
comment vas-tuBonjour Archduke
Kama kawaidaFainali ipigwe na London teams itakuwa ngumu
shikamoooo
Mkuu hi sio ya huko kisiwani huku mkoa wa Songwe kuna sehemu inaitwa MPEMBA ni njia panda ya kuingia wilaya ya ilejeYes Mpemba
Au unaogopa kujitambulisha kuwa unatokea hukoHapana, mimi naijua nchi
Walishawahi ilikuwa mwaka 2014 mwanzoni walikuja na gari wanataka kuku Idadi kubwa kisha wakadai pesa haitoshi hivyo tupunguze baadhi, hapo ndipo tulipotapeliwa ni kama kiini macho hiviIla madalali wezi sana, hajawahi kukuibia?
hakuna namna shemela wachapwe tu huku na sisi tukimchapa BurnleyNzuri shemela, tunasubiri tumchape man city