Makapuku Forum

Sasa hivi wameruhusu mpaka watoto wawili. Logic ni kwamba wazazi watataka kuwa na watoto wa jinsia zote mbili. Kwenye one child policy wazazi walikuwa wanaviua vitoto vya kike na kuendelea kujaribu tena na tena mpaka wapate katoto ka kiume. Matokeo yake kuna upungufu mkubwa wa mabinti na vijana wanapata shida wakati wa kuoa. Na wakati huo huo wanataka ku-maintain cultural purity na hawapendi kujichanganya hasa katika ndoa especially wakati huu ambapo ni dola kuu linaloinukia. Ukitaka mtoto wa tatu inabidi uombe vibali maalumu na uonyeshe uwezo wa kumlea bila msaada wo wote kutoka serikalini.
 
Duh kwahiyo sasa hivi wapo kwenye "Two Child Policy'
Kuhusu upungufu wa wanawake nilishawahi kusikia ilileta balaa pia itaweza kusababisha ushoga
........
 
Duuh ila gape la m40 si mchezo...
 
Duh kwahiyo sasa hivi wapo kwenye "Two Child Policy'
Kuhusu upungufu wa wanawake nilishawahi kusikia ilileta balaa pia itaweza kusababisha ushoga
........
Officially kuanzia mwaka juzi kama sikosei. Upungufu wa wanawake hapa Makapuku tu unaleta shida imagine nchi yenye watu bilioni 1+. Nasikia ratio ilikuwa inakaribia 1:3. Sasa hapo niambie kama utapata mke kama hauko ngangari!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…