Makapuku Forum

asante mkuu
 
Makapuku, wikend ndo tunainza hivi kwa kujiburudisha na nyuzi za gitaa kutoka kwa magwiji mbalimbali Afrika. leo tunaye mkongwe mwingine tena.

Salif Keita, huyu utamtambua kwa sauti yake adhimu lakini pia kwa kuwa ni mwanamuzi mwenye albinism. Tatizo la ngozi yake halijamfanya asiwe mahiri katika kile anachokifanya, muziki.
Keita keshafanya ziara zenye mafanikio makubwa sehemu nyingi duniani na album yake ya M'Bemba ilitwaa tuzo kadhaa ikiwemo ya BBC.

Kama walivyo magwiji wengine wa Mali, Salif alifanya 'korabo' na gwiji la kora Toumani Diabate na leo nakuacha nao uburudike

 
Mkuu obe
 
wa Brazil nywele zao tunanunua ghali
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…