Snipes
JF-Expert Member
- Jul 2, 2013
- 9,223
- 16,900
anapenda kwa wotekweli ni wapi

anapenda kwa wotekweli ni wapi

Nduki tena jamaniniueee
nduki kalii
Mweeh niko tofauti na hayo maneno mwenzioUnaongea maneno mazur kama ulivyo.... Natamani kukufahamu zaidi
Apana siwezi kukubalia ila ukweli unaoMweeh niko tofauti na hayo maneno mwenzio
Huwa siitikii salamu zenye viashiria vya kichoyo.shikamoo Rogie
Na ukweli huo nimekupatiaApana siwezi kukubalia ila ukweli unao

Mkuu ni ambao umetazamwa mara nyingiDid you know
Je wajua
Makapuku ndio uzi wa kwanza kutazamwa na watazamaji zaidi ya 2m
![]()
kwangu anapenda kwa lee wangu tuanapenda kwa wote![]()
toka lini umeanza kutoitikia salamu yanguHuwa siitikii salamu zenye viashiria vya kichoyo.
Ila kweli inawezekana we unajiona kawaida tu ukweli ukabakia kwa wana kijijiNa ukweli huo nimekupatia![]()
Hahahahahtoka lini umeanza kutoitikia salamu yangu
Umetazamwa Mara nyingi zaidiMkuu ni ambao umetazamwa mara nyingi
Itoke moyoniTutapiga
Sio kweliDid you know
Je wajua
Makapuku ndio uzi wa kwanza kutazamwa na watazamaji zaidi ya 2m
![]()
Kiibodi au kibodi?Kwako Mpenzi BlessedHope,
Salaam, ama baada ya salamu napenda kukujulia hali yako ewe kipenzi cha moyo wangu uliye mbali na upeo wa kiibodi siku za hivi karibuni. Ama kwa hakika ukimya wako umekuwa pigo kubwa sana kwangu. Nakuomba mara upatapo ujumbe huu unifahamishe kama nina nafasi katika moyo wako.
Wako katika mapenzi ya Kiibodi,
Rogie
Nitajitahidi mkuuSio kweli
Ungesema labda Jukwaa la Chitchat
Kiuna uzi unaitwa African Satellite World umewekwa sticky Jukwaa la tech
Kuna Uzi unahusu kubet
Pia zipo thread km Man Utd fans na watani zake zina views milioni na kitu
Uwe unazunguka na majukwaa mengine
.....
ˈ/kēˌbôrd/Kiibodi au kibodi?