4/Liberia
Licha ya bendera yao kufanana na USA lakini kiuchumi ni tembo na sisimizi
Pato lao ni USD 712...Chanzo kikuu cha umaskini wao ni migogoro ya kisiasa nafikiri wote mnajua walichofanya akina Samuel Doe na Charles Taylor...hali ilitulia kidogo utawala wa Mama Hellen Johnson Shraff
.....