4/Liberia
Licha ya bendera yao kufanana na USA lakini kiuchumi ni tembo na sisimizi
Kipato chao ni USD 712...Chanzo kikuu cha umaskini wao ni migogoro ya kisiasa nafikiri wote mnajua walichofanya akina Samuel Doe na Charles Taylor...hali ilitulia kidogo utawala wa Mama Hellen Johnson Shyraff
.....
Sahivi am free, alininyima usingizi huyu binti sahivi naweza lala sasa ameshaomba nimpishe, sasa ni kugonga neno la bwana nitaeneza injili bila mke, yani alitaka sadaka ahh kagusa pabaya