5/Eritrea
Nchi hii ipo pembezoni mwa Afrika, ukivuka tu maji unakutana na Yemen{Asia}
Ni nchi iliyobarikiwa wabawake warembo
Chanzo kikuu cha umaskini wao ni kizingukwa na majirani ambao kila siku wanaeushiana tu mabomu hivyo anga lao linafuka Moshi tu
Kipato chao ni USD 792
...