Makapuku Forum

6/Jamhuri ya Afrika ya Kati

Km ilivyo jina lake inapatikana kstrikati ya Afrika...Kipato chao ni USD 828
miaka ya karibuni imesumbuliwa zaidi na vita vya Maituni(Bush War) sanasana utawala wa Jenerali Francois Bozize
Huduma za afya, elimu, barabara zipo hoiiiiii
......
 


...pia kana utajiri mkubwa wa kihistoria. Mali na Songhai empires zilikuwa katika nchi hii
 
Hawa watoto wazazi wao wako wapi
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…