Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,001
- 150,526
Nambie make nishaitwaa mpaka bhasiBado hajawa wangu bana
Nambie make nishaitwaa mpaka bhasiBado hajawa wangu bana
Umesahauu niniOoh nimesahau tena
Huwa namfuatilia sana huyu mtumishi wa Mungu bushiri na makanisa ambayo yapo Tanzania, yupo vizuri sana, na ukisali makanisa yake lazima utaona mafanikio, kumbe unaendaga kanisa la makongo oh glory to God basi utakua umeiva OH jesus that my bossNilikuwapo DIAMOND JUBILEE na ECG Makongo akitabiri kuhusu tetemeko na kiongozi wa upinzani mwaka jana Julai. Na ibada hiyo. Juzi niliifuatilia live Maombi ni muhimu sana kwani yapo mengi yanayoendelea na ambayo hakika yanaweza kutudumbukiza popote.Mungu atusaidie.
Nakupenda sana mama mchungajiAbee
mbona unamfanya mme wangu kama cartoon vale lkn
Unasubiri niniBado hajawa wangu bana
Duuuuh8/Malawi
![]()
Tuwaonee huruma hawa jirani zetu kuhusu Ziwa Nyasa...Janchi wenyewe kamejichokea tayari, pato lao ni USD 894
Hawa jamaa 85% wanaishi maporini(maeneo ya vijini) tatizo lao kubwa ni ugonjwa wa Ukimwi
Hivyo msijiulize sana kwanini Wanyakyusa wa Kyela wanaongoza kwa Virusi vya Ukimwi huko Mbeya....ni jirani zao!!!!
......
MkuuMkuu nataka kesho uweke Nukuu ..
Utaweza?
Umeona ehh tutamchapa huyu valentinambona unamfanya mme wangu kama cartoon vale lkn
mbona unamfanya mme wangu kama cartoon vale lkn
nimeona hana hatia bana ikabidi niahirisheNilichokuitiaUmesahauu nini
Nipe hela kwanzaNakupenda sana mama mchungaji
Nasubiri kuona wallet yakoUnasubiri nini
Mmmmhnimeona hana hatia bana ikabidi niahirishe
Huyu pasua kichwaUmeona ehh tutamchapa huyu valentina
NambieeNilichokuitia
Ahaaaaaaaaaah wewe kiboooouuukNipe hela kwanza
Kesi ipi valee?Hivi kesi yangu nawe haijaisha
Err..7/Niger
![]()
Haka kanchi kanapatikana huko Afrika Magharibi ..inapakana na akina Nigeria
Karibu nusu ya wananchi wake wana umri wa miaka 15 au chini ya hapo yaani Taifa lao limejaa vitoto tiupu
Pato lao la Taifa ni USD 853
29% ya wananchi wake ni mambumbumbu
......