MR T ndiyo chaguo la dada yetu sakayo, asiyekubali kushindwa sio mshindani, nami ni mshindani halisi, vipi huna sehemu pakutua shunie, sakayo sasa usimguse valentina yani sio kwa maombi hayo nitakayo poromoshaAhaaa Ndio maana Mr T alikunyang'anya Sakayo..
Hofu sio nzuri, halafu valentina umesahau tangu kipindi kile sijapewa daraja la pastor nilikua nakuzimia ila sahivi nimezidi, umesahau eh,Huyu baba paroko ninawasiwasi nae aise
Korea ipi sasa? Kas au kusShaka ondoa wakorea wanasema trust him
Ubarikiwe dear,karibu sanaNlikumiss pia mamy ahsante sana nshakaribia vimambo mambo tu ndo maana
Kila mtu atafute pakupumzikia asiye na mwana basi tena[emoji23] [emoji23] [emoji23] Hapo bora undugu ufe chakorii kipenzi wangu wa moyoni jamani
Kazi ya ukuwadi naona unaimudu vemaNext time usipende ku-skip unaweza kuta valentina kwa mfano alikujibu amekubali ombi lako wewe umeruka pages zote, dont my brother utakosa mke hivi hivi
Haahahhahah baby please at least say YES, bashite ndiyo nani baby mbona mwenye jina hilo hajitokezi, hakuna bashite TanzaniaHaaa yani unanfananisha na Bashite. Umepunguza points
Nina dawa za kuongeza mvuto kwa mpenzioUnatibu nn nikutafute!?
Mm mwenyewe nimeshamuachiaMR T ndiyo chaguo la dada yetu sakayo, asiyekubali kushindwa sio mshindani, nami ni mshindani halisi, vipi huna sehemu pakutua shunie, sakayo sasa usimguse valentina yani sio kwa maombi hayo nitakayo poromosha
Asie na babie nae inakuwaje mkuu!?!?Kila mtu atafute pakupumzikia asiye na mwana basi tena
Hivi we ni pastor au paroko? Mbona skuelewiHofu sio nzuri, halafu valentina umesahau tangu kipindi kile sijapewa daraja la pastor nilikua nakuzimia ila sahivi nimezidi, umesahau eh,
AminaUbarikiwe dear,karibu sana
Mkuu habari za muda, unagusa pabaya mkuuUnatibu nn nikutafute!?
Tutake rdhi
Chuga raha sana
Okey poa, wewe tena jiraniTutafutane ss
SweetBabe
Nimekulidhulumu wapi?Aaah hata mm ni muhanga wa kuzurumiwa na wewe...
Punguza povu....Tutake rdhi