Makapuku Forum

Sio mtu wa mbwembwe za mapenzi
Hivyo sinaga sana stori za mapenzi......hata km kuna kapuku yupo hapahapa natembea nae hamuwezi kujua
I'm silent killer
...............
Wewe bitozi wa wapi weweee ni wa Mwananyamala ehh nishakumbuka, maana mabitozi wanapendaga mademu wa kaliii halafu lazima aonyeshe kwa kila mtu kwamba yeye ana demu mkali,
 
Enheee kisa cha kulala saa hz au ndio shift ya usiku kama @Tetramyliz aaah ok
Mitikasi ya kusaka mtoto
 
Na kwako pia mkuu
 
Game gani tena
 
Mkuu tunakupenda pia, ngoja nikuweke mikononi mwa bwana na tuma malaika popote ulipo wakuzunguke wakulinde na wakuongoze wewe na familia yako
 
Aksante Mkuu... Ila Kama unaishabikia Barcelona ujiandae kupokea Marple!!!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…