Makapuku Forum

Lakini mkuu ulishakata shauri kwamba utawarudia mabinti wa Kinyarwanda inakuwaje uwe na wivu juu ya wa humu?
Ishu ya Rwanda ilianza baada ya kutoka kapa hapa. Shedede shahidi yangu mpaka yeye naona kageuka mlinzi eti kaajiriwa na Lee kumchunga Shunie asidabuliwe na majamaa mengine. Kuna uhaba mkubwa wa negative charge hapa JF...
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…