Mimi sijaona dhambi gani utachuma hapo, jaribu kuniweka katika mawazo yako na upime uzito wa mahaba juu yangu, halafu ndiyo utajua unafaa kuwa mama mchungaji au lahasha
Nyagei.... kuna jamaa mmoja nilisoma nae A-LEVEL TANGA USAGARA alijiita hilo jina mbaya zaidi alilipenda hilo jina kwasababu ya konyagi alikua anagonga konyagi sijapata kuona, tell me you are not the one i think...
Sasa Kunena kwa lugha ni mpaka roho mtakatifu ashuke, sasa mkipendana sana na nikaliweka swala lenu mezani mwa bwana basi ujue lazima nitanena kwa lugha ameeeeni sema ameeeeeni