Makapuku Forum

Kwahiyo yule mama mchungaji humtaki tena au unaongeza mpango wa kando?
Hataweza kasi yangu, hataki kupanda gari yetu anasema ni matumizi mabaya ya pesa, hataki kula hotelini anataka mama ntilie tukiwa out naye, hataki warembo waje kupata huduma, hataki nguo nzuri nami ni pastor wa kisasa naenda na wakati, so nimemtimua, nakuhitaji JIMENA
 
Kazi yangu ni ngumu na wanakuja watu wa aina mbalimbali wengine wanataka ushauri faraghani, so nahitaji mrembo mkalii na mwenye akili kubwa kama jimena ili nitulie kabsaa ibaki kazi moja ya kuhudumia jamii.
Jimena nielewe mrembo
Hata mie naunga mkono hoja.
Hivi hapa unanitongoza au
Itakuwa hivyo
 
Kazi yangu ni ngumu na wanakuja watu wa aina mbalimbali wengine wanataka ushauri faraghani, so nahitaji mrembo mkalii na mwenye akili kubwa kama jimena ili nitulie kabsaa ibaki kazi moja ya kuhudumia jamii.
Jimena nielewe mrembo
Mtumishi unamaanisha nin hapa kwani nini kimetokea baina yako wewe na shemeji wetu Patience123 ama unataka kuwa na wake zaid ya mmoja?
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…