Makapuku Forum

Nilifikidi kaja kuleta magumashi
Nimefuta Yale maneno
I'm sorry
.................

πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ ebu rudi kwenye post yake umkandamije na li-like limoja mwanawane.

Ebhana G. Man kokote ulipo karibu, huyo bitoz ndo raisi wa pandw hizi, mtu muhimu kumjua....wengine utatujua eventually, huku ni likes na kupeana info mwanzo mwisho, dharau na kejeri mwiko
 
Ni mshamba tu wa makapuku forum ila jf huwa naingia na najua majib ya huku kwa kias fulan
Presidet Bitoz heshima kwako
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…