Makapuku Forum

aisee pole sana sana Nyagei Mungu akutie nguvu kwa kwa kumpoteza dada eb tuwekee no tukutumie chochote
 
Na itakuwa tamu kama Korea atakuwa na kitu chake advanced kumpita us kikapiga hapo Calfornia

Hivi hizo AMS zikitungua eg. Atomic missile kunakuwa hamna madhara?
Bado Us yupo Top kwa N. Korea..

Hii kuhangaika kote kwa Us ni kutotaka Taifa kama N.korea ambalo niko agaist yeye likue ki-usalama.

Longest range missile ya N.korea ina safiri umbali unaokadiriwa 5600 miles , wakati Us to N.korea kuna umbali wa 6440 miles.

Lazima N.korea atumie Nyambizi tuu..No way..

Na anatumia nyambizi ya Diesel ambazo zinajitahidi sana kudeflect detection ya radar..
 
Na kama us pekee ndiye mwenye hiyo technology basi amchokoze N. Korea tuone!!!.....us mpuuzi sana!!!

Us alipiga Iraq na Libya 7bu wao walikuwa wananunua silaha now anaenda kupigana na anaetengeneza silaha mwenyewe!!!
Watu hawajui kwamba silaha mkubwa ya Mmarekani kushinda ni PROPAGANDA KUPITIA CIA
Ndio kilichowamaliza Gaddafi na Saddam ambaye mwanzo aliwapiga kwenye vita ya Ghuba kwa aibu ndo wakaamua kulipa kisasi kwa kupandikiza kwanza propaganda za chuki na maasi ndani ya jeshi ht kwa Gaddafi ivoivo tu

Mmarekani kawahi kuchezea kichapo Vietnam ambao wanatumia kofia za mikeka tu

Kwa mapanki propaganda haziwezi kufanya kazi ht 3%

......
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…