Mi sina muda wa kujibizana nao....kitu vizuri zinajulikana wala hakihitaji promo
Halafu kwani kuna sheria ya JF kuhusu utoaji wa likes
Halafu hivi vijamaa vinachoanza na herufu "D" na "U" ni vipuuzi ....hawa ndo wanasoma nondo zetu humu kila siku zen hujifanya kuponda km vipi waanzishe thread wanayoiona ni ya maana halafu na wao wajaziane likes ht milioni moja
Kwani tatizo nini?
https://www.jamiiforums.com/index.php?posts/20637726
Snitch
........
.....