Lumbi9
JF-Expert Member
- Oct 12, 2014
- 8,747
- 12,462
tutaelewa tu hutu tutoto twa tanzanzibarBaelezeeeeeee
tutaelewa tu hutu tutoto twa tanzanzibarBaelezeeeeeee
Sasa mwanaune chip mayai unakula ya kazi gani?Ndio mmekakamaa mkienda dar mnalalamika hamshibi
Wacha weee.!Nshakuona mpenzi, za mida vipi baby!
karibuni![]()
Office gani, kiaz kunileta nguvu, ya protini. Nyie jidanganyeniSasa mwanaune chip mayai unakula ya kazi gani?
Kwanza zinaharibu office.
[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] sio kweli! Mwanandiko kama daktariYo handwrite is adorable
Kiazi chenye mafuta ya transformer kina faida gani sasa.Office gani, kiaz kunileta nguvu, ya protini. Nyie jidanganyeni
Ulishawahi kuthibitisha vinakaangwa kwa mafuta ya transfoma?Kiazi chenye mafuta ya transformer kina faida gani sasa.
Wambeya macho kodo.Wacha weee.!
Sijaelewatutaelewa tu hutu tutoto twa tanzanzibar
Usisahau vipande vya nazi na mihogo mibichi na pili pili.... Daslam banaSasa mwanaune chip mayai unakula ya kazi gani?
Kwanza zinaharibu office.
Nawatamani.Wambeya macho kodo.
Thanks lovekaribuni![]()
Karibu mkuu.Longtime sijatimba humu, makapuku mnatisha wakongwe wamebakia kulialia.
Sasa hivi limepungua eehTimbwili lilikuwa kubwa.
Umekula honey?Thanks love
Sijala honeyUmekula honey?
Kazi ipo [emoji144] [emoji86] [emoji144] [emoji86]Umekula honey?