Mmh lazima kuwepo madudu tu,hv unajua kuna wakati hazipakii watu eti system ya kukata tiket iko down,na wanapanda wenye kadi tu ,na kadi hazikatwi tena walisitsha hilo zoezi,ila unaweza kurenew tu,so hawakujipanga
Wakuu nilikuwa sijui kumbe jumamosi ni marufuku kufungua duka wala ofisi kabla ya SAA 4
Nimejikuta napigia mswaki majivu duh
Hii serikali noma ht kununua vitumbua tusubiri ifike SAA 4
.....