Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,230
- 68,262
Serikali ya ViwandaWakuu nilikuwa sijui kumbe jumamosi ni marufuku kufungua duka wala ofisi kabla ya SAA 4
Nimejikuta napigia mswaki majivu duh
Hii serikali noma ht kununua vitumbua tusubiri ifike SAA 4
.....
Aah Shunie Leo utakuwa wapi vileWasukum kama jpm ni shidaa
Nacheka sina mbavu mie...nakupenda pia dada angu mzima lkn inabidi nijitahidi kuzoea lile neno analo taamka husna
kama nakuona unavyocheka huko
Aminanashkuru ubarikiwe
1955 - Dodi Al Fayed anazaliwa.
Alikuwa ni mtoto wa mfanyabiashara wa Misri, Mohamed Al Fayed.
Alikuwa ni mpenzi wa Princess Diana.
Walifariki pamoja mwaka 1997 katika ajali ya gari huko Paris.
Inasemekana waliuawa Kwakua Princes alikua na ujauzito wake hawakutaka kabisa kizazi cha Malkia kipate mtoto wa kiarabu maana angekua mdogo wa wajukuu wa Malkia kwa kushare mama ...R.I.P DODI EL FAYED na PRINCES DIANA1955 - Dodi Al Fayed anazaliwa.
Alikuwa ni mtoto wa mfanyabiashara wa Misri, Mohamed Al Fayed.
Alikuwa ni mpenzi wa Princess Diana.
Walifariki pamoja mwaka 1997 katika ajali ya gari huko Paris.
Mi muda muafaka wa kurejesha heshima ya Milan iliyopotea kwa siku za karibuni.
Itakuwa km Man City
Wachezaji hufuata pesa kwanza
.....
hahahhahah hakuna namna kabisa aisee sipati picha ukinisaidia kutamka mm mbavu zitauma kwa kichekoNacheka sina mbavu mie...
Nitakusaidia kulitamka
Hahaha hahaha!!!
Nahisi mie ndo nakuwa next...nashkuru ubarikiwe
kuwa wapi kivipiAah Shunie Leo utakuwa wapi vile
hahahhah Dada mdomo huumba ujue usiongee hivyo ila kwako haiwezi tokea naamini hivyo kabisaNahisi mie ndo nakuwa next...
Alianza Husna, Shunie, next ndo sitaki kuamini....
Wapumzike kwa amani marehemu wote wa meli ya titanic na pole kwa ndugu jamaa na marafiki ni muda umepita lakini familia zilizoathirika zipo .1912 - Meli ya RMS Titanic yazama mara baada ya kugonga barafu baharini.
Abiria 710 pekee ndio wanasalimika kifo kati ya abiria 2200.
Itabidi tusaidiane maana hamna namnahahahhahah hakuna namna kabisa aisee sipati picha ukinisaidia kutamka mm mbavu zitauma kwa kicheko
R.I.P Abraham LincolinLeo Katika Historia:
1865 - Rais Abraham Lincoln anafariki Dunia siku moja baada ya kupigwa risasi.
Makamu wa Rais Andrew Johnson anachukua wadhifa huo kama Rais mpya wa Marekani.
1989 - Hillsborough Disaster: Katika mechi ya Nusu Fainali ya Kombe la F.A baina ya Liverpool na Nottingham Forest kunatokea mrundikano mkubwa wa mashabiki kwenye majukwaa na kusababisha Mashabiki 96 wa Liverpool kufariki baada ya kukanyagana.
hahahhahah nacheka kama mazuri nilimiss mambo kama haya jamaanItabidi tusaidiane maana hamna namna
Usiseme hivyo mdogo wangu, kuna mtu simuoni toka juzi ujue!!!hahahhah Dada mdomo huumba ujue usiongee hivyo ila kwako haiwezi tokea naamini hivyo kabisa
Asante kwa nyongeza.Inasemekana waliuawa Kwakua Princes alikua na ujauzito wake hawakutaka kabisa kizazi cha Malkia kipate mtoto wa kiarabu maana angekua mdogo wa wajukuu wa Malkia kwa kushare mama ...R.I.P DODI EL FAYED na PRINCES DIANA
AmenWapumzike kwa amani marehemu wote wa meli ya titanic na pole kwa ndugu jamaa na marafiki ni muda umepita lakini familia zilizoathirika zipo .
hahahhah atakua kwenye kuhangaika tu labda net hamna alipo kuwa na amani zoteUsiseme hivyo mdogo wangu, kuna mtu simuoni toka juzi ujue!!!