everlenk
JF-Expert Member
- Oct 5, 2012
- 11,628
- 15,037
Asante Mbona hujanitafuta?? Hunipendiiii[emoji24] [emoji24]Tumekumisi
Asante Mbona hujanitafuta?? Hunipendiiii[emoji24] [emoji24]Tumekumisi
Thanks my babytoMe too my love
[emoji8] [emoji8] [emoji8]Thanks my babyto
Sijakutenga, leo kutwa sikuwa online, jioni hii ndo nimepata tym ya kuwepo hapaUmenitenga kapuku mie😳😳
Nakupenda mpaka naumwa.Asante Mbona hujanitafuta?? Hunipendiiii[emoji24] [emoji24]
Tufurahie maisha mpenzi wangu[emoji8] [emoji8] [emoji8]
Mkuu usilipize ubaya kwa ubaya.Endelea kukaza kijana
Wewe umesahau asubuhi kwa ulichokifanya?
Yes baby!Tufurahie maisha mpenzi wangu
Asante [emoji133] [emoji133] [emoji133] [emoji133] ila usiumwe upone maana sitakufaidi, kumbe napendwa? naomba mnirogeee kupendwa kutamu[emoji133] [emoji133] [emoji133] [emoji8]Nakupenda mpaka naumwa.
Sijakutenga, leo kutwa sikuwa online, jioni hii ndo nimepata tym ya kuwepo hapa
Jana mbali mno, muulize braza youngblood kilichotokea leo asubuhi atakusimulia.Hongera sana. Maana Jana sio mchezo hahahahah
Mwaka huu lazima watakuroga mama.Asante [emoji133] [emoji133] [emoji133] [emoji133] ila usiumwe upone maana sitakufaidi, kumbe napendwa? naomba mnirogeee kupendwa kutamu[emoji133] [emoji133] [emoji133] [emoji8]
Jirani acha uchonganishi.Nahrene kazi anayo
Mkuu usiwe na shaka, unajua mimi naturally ni asali ya warembo.Yeah hapa kazi ipo
Nahisi kama niliona hiviJana mbali mno, muulize braza youngblood kilichotokea leo asubuhi atakusimulia.
Kwahiyo hapo unatongoza ama?Nakupenda mpaka naumwa.
Hewalaaaaa!!!!Mwaka huu lazima watakuroga mama.