Bitoz
JF-Expert Member
- Aug 27, 2015
- 30,823
- 126,642
aiseee sad kwakweli naskia huu ugonjwa walikua wanaumwa wawili tu bada ya kufa huyu kabaki mmoja
Ni kweli yy ndo mweusi wa kwanza kuupata
Huyu mwenzake ni cheupe nafikiri ni mzungu au chotara
Ni ugonjwa nadra mtu kuupata hauambukizi wala kujulikana chanzo chake cha uhakika
.....