Makapuku Forum

Makapuku Forum

News alert; Yanga uso kwa uso na Pharao, Waarabu wasema watatumia Mfumo wa Magufuli & Majaliwa kuwaangamiza,..

Klabu Kongwe katika ukanda wa Africa Mashariki Dar Young Africa leo wanajitupa uwanjani kupambana na timu bora na kongwe barani Africa (National Al Ahly) hatua ya 16 round. Yanga wa kimataifa imejinasibu kuwa ina uhakika wa kumfunga kwa namna yoyote ile..
"tutamfunga Apende asipende kwani nini bhana mbona FCB alifungwa nyumbani" alisikika shabiki wa Yanga akijitamba ..

Kwa upande wa Al Ahly walikuwa hawana maneno mengi "دجبشدبجبجس.دطجفتادسنذباجطفس.بادجفسندبجبا.سددجبدسجبدسب.جبفسدجبا.دس.دجسجس
دجبسبجاجبسانفطبا.سدجبفدجرجثآد.بجدسدبج

"tunakwenda kutumbua majipu na tutatumia falsafa ya viongozi wao wa kitaifa wanazotumia "hapa kazi tu, na kutumbua majipu".

Yanga wanaingia uwanjani wakiwa na rekodi mbaya ya kutowahi kuvuka hatua ya 16 bora tangu michuano hiyo ianzishwe..

wakimataifa
Hawa yeboyebo watasubiri sana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom