Bailly5
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 16,495
- 35,288
Hapana is just a reminder tu...kadunia kameisha siku hizi...Hahaha,kumbe una tabia mbaya.![]()
![]()
![]()
Niambie baby, uko poa?
Niko poa honey wanguNiambie baby, uko poa?
Sana tu mkuu.duh! huo msamiati una ukakasi hapa JF..
Kweli kabisa dada,watu siku hizi wanafanya haya mambo kama wamepagawaHapana is just a reminder tu...kadunia kameisha siku hizi...
Nilitoka kdg na baba mtumishi...tupo hapa Ngurdoto lodge tunapeana upako shemeji.Kuna watu wamepotea sana leo hapa wapi youngblood akiwa ameambatana na Nahrene, wapi lizziebettie akiwa sambamba na Th Name, wapi Patience123 akiwa na baba mtumish jambilo, wapi aggyjay akiwa ubavun mwa EMMYGUY ..Wap Jimena akisindikizwa kwa mbaaaali na sizzya007 wapi mabachalor wengine wote...
Kama uko poa ndo furaha yangu babyNiko poa honey wangu
Niko safi, ila tu siku ya leo nilikuwa busy mno.Wifi yako yuko poa sana tupo naye hapa yeye ndiyo amekumiss mno hadi akasema yu wapi dada ako leo..Nkasema wacha nimwite akuje hapa..Wewe uko poa lakin?
Wengi wao wanafanya hivyo wakijua watapendwa zaidi kumbe ndio anajishusha thamani na kuharibu mwili wake..Kweli kabisa dada,watu siku hizi wanafanya haya mambo kama wamepagawa
Asante honey!Kama uko poa ndo furaha yangu baby
Kwakweli we ni mmoja kati ya mawifi bora niliopataNipo poa my Wii namuandalia kaka ako chakula cha jion
Yani acha tu,watu wanapenda sana kuonjaonja kila kitu.Wengi wao wanafanya hivyo wakijua watapendwa zaidi kumbe ndio anajishusha thamani na kuharibu mwili wake..
Mungu arehemu kizazi hiki.....
Just miss you babyAsante honey!
Aisee,inabidi nianze dose ya dawa za presha maana huyu mwanamke naona anataka roho yangu sasa.Kumbe mwenye mali hata hujui hata kipasua roho chako kilipo? Nilimuona mshana jr akiongozana naye kwenda kuwanga.
Niko safi, ila tu siku ya leo nilikuwa busy mno.
Salamu zimfikie na mapendo tele kwenu
Kwakweli we ni mmoja kati ya mawifi bora niliopata