Makapuku Forum

Pia sababu nyingine ya Madrid kupendwa na mashabiki wa Man Utd ni vile vipigo viwili vya fainali UCL .... Hivyo imebidi tuwape sapoti Madrid maana ni mahasimu

Pia utagundua mashabiki wengi wa ArsayNO wanaisapoti Barca sababu ikiwa ni hiyohiyo lakini kichekesho zaidi nao siku za karibuni wamenyanyaswa na Barca vya kutosha ila hawaitaki Madrid sababu imejaa mashabiki wa Man Utd
......
 
Umetilika vizr ..... Mwenyewe leo naponea njiani
 
Mkuu uvr sana... Aise hongera sana
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…