Makapuku Forum

Next uje umlete George Benson
 
Matokeo ya mechi za tarehe 10/4/2017
VPL

Msimamo ulivyo sasa

EPL

Poleni Arsenal naona mmeupenda sasa mtaa wa sita

LaLiga
 
teh teh! na wapuliza filimbi pia usiwasahau mkuu

Oh, nitawasahau vipi tena hawa tena, najua huijui band maarufu ya TatuNane na mpuliza filimbi wao maarufu Omari Naliene, huyu alimzimisha Mswede kwa kupuliza filimbi 'melodically' kwa kutumia pua zake. FYI, Naliene alifariki dunia

Hawa hapa chini wanaitwa Lumumba Theater (hawana uhusiano wowote na wale vijana wapigasiasa wa Lumumba)
Sikiza hiyo filimbi, kesho ukiomba Zeze utasubiri sana.

Hizi video ni za YouTube

Asante mkuuu

Kwa ufupi tu

Vpl;

Mbao fc wamejichinja wenyewe na nidhamu yao mbovu kabisa.... Unapo cheza na klabu kubwa nidhamu ya kuuanza mchezo na nidhamu ya kuumaliza mchezo ni shurti iwe katika vichwa vya wachezaji maana klabu kubwa inambinu nyingi za kuumaliza mchezo sana .... Shikamoo Simba japo apo kinachofuata ni kuombeana mabaya jirani kwa jirani

Matokeo ya mechi za tarehe 10/4/2017
VPL

Msimamo ulivyo sasa

EPL

Poleni Arsenal naona mmeupenda sasa mtaa wa sita

LaLiga
Asante mkuuu

Kwa ufupi tu

Vpl;

Mbao fc wamejichinja wenyewe na nidhamu yao mbovu kabisa.... Unapo cheza na klabu kubwa nidhamu ya kuuanza mchezo na nidhamu ya kuumaliza mchezo ni shurti iwe katika vichwa vya wachezaji maana klabu kubwa inambinu nyingi za kuumaliza mchezo sana .... Shikamoo Simba japo apo kinachofuata ni kuombeana mabaya jirani kwa jirani
 
Asante mjomba, umeona Nyagei kataka kumjua Benson mimi nikamfahamisha na kudedicate jisongi kwa BH, ukisikia mabao ya faulo ndo haya sasa😀, weka ugoko naweka chuma
Ahaaaaah bhinamu mukongo alituzidi kete ila sio mbaya ...lindo linaendelea vizuri na mm mtaa wa pili huu yumewakamata vidogo vinatusaidia kusogeza mda
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…