Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,076
- 463,977
hahahaha upo jamii photo wapm mods waufuteBado upo jamn msaada najuta kuuweka
hahahaha upo jamii photo wapm mods waufuteBado upo jamn msaada najuta kuuweka
Hakika inaumiza sana shem wanesana maskini namuonea huruma haya mambo uyasikie tu kwa mtu wa mbali sio anayekuhusu
Ni akina nani hao mods?hahahaha upo jamii photo wapm mods waufute
Niunganishe naeYupo Dogo yuko vizr;!!
It was great enzi hizohe he
Yanaenda poaTuko poa mkuu vip majukumu
jamaan umeingia jf jana shededeNi akina nani hao mods?
sana aiseeIt was great enzi hizo
Sawa ngoja nimpmjamaan umeingia jf jana shedede
ni invisible wa jf
Nakupatia phone number yake kwa inboxNiunganishe nae
yaan ww unajichulia na utaipata tu halaf uione utamu wakeItabid nijipe banned hii ni mistake kubwa sana
Shemu usiniombee ivoyaan ww unajichulia na utaipata tu halaf uione utamu wake
nakuombea tu na unakoelekea utaipataShemu usiniombee ivo
Shunie shununu...nakuombea tu na unakoelekea utaipata
Najua kuwa ni utani, ndiyo maana nikamwambia kiutani, aisee nitake radhi tafadhari.radhi ya nn aisee kwenye utani siombagi msamaha